Mashabiki

Tunaamini katika mashabiki na tunapenda kusema kuwa tunawapenda sana. Katika siku za usoni tumeweza kujizolea sifa kemkem kutoka kwa mashabiki wetu. Tunapenda kutoa fursa kwa wanaopenda kuanzisha matawi ya timu yetu katika vijiwe vyao wawe huru ila tungependa kupata taarifa ili kuorozesha matawi hayo. Kwa sasa hatuna tawi hata moja ila tunategemea kuanzisha tawi mama katika kata ya Mjimpya.