Wadhamini

Hadi sasa timu hii imekuwa ikisaidiwa na wanajamii katika shughuli zake za kawaida za ki-timu. Hivyo inapenda kutoa fursa kwa yeyote, Kampuni yeyote kudhamini timu hii kwani inamwelekeo wa kisoka. Tunakaribisha wadau mbalimbali katika kudhamini timu yetu.