Mipango

Mkakati wa KRFC ni kucheza ligi kuu ya Tanzania mwaka 2013/2014. Hivyo toka kuanzishwa kwake mwaka 2010 imejiwekea mpango mkakati kama ifuatavyo:



MWAKA WA KWANZA 2010/2011
1. Kuanzisha timu
2. Kujenga umoja na mshikamano
3. Kutangaza jina la timu ili kujulikana
4. Kucheza michezo mingi ya kirafiki ndani na nje ya Mkoa
5. Kuwa na nembo ya timu

MWAKA WA PILI 2011/2012
1. Kufungua account ya benki
2. Kuwa na Ofisi ya timu
3. Kuandaa mashindano mengi ili kujijenga kimazoezi na kupata exposure.
4. Kuandaa bajeti ya mwaka 2012/2013 ili kuweza kuwalipa wachezaji, makocha na viongozi wa timu
5. Kusajili wachezaji watakaoleta ushindani ndani na nje ya Mkoa
6. Kutafuta wadhamini wa timu
7. Kuanzisha miradi mbalimbali ya timu

MWAKA WA TATU 2012/2013
1. Kuunda kikosi chenye wachezaji mahiri
2. Kucheza mechi nyi ngi zikiwemo za nje ya chi
3. Kushiriki ligi za kufuzu kwa ligi kuu Tanzania bara

MWAKA 2013/2014
KUSHIRIKI LIGI KUU

Hii ndio bajeti ya mwaka 2012/2013
KILIMANJARO RANGERS FOORBALL CLUB 2012/2013 Budget
Item Quantity Per Person/per month Months Total Cost
Players Allowance 28 50,000 12 16,800,000
Coach Allowance 1 200,000 12 2,400,000
Assistant Coach 1 150,000 12 1,800,000
Chair Man 1 100,000 12 1,200,000
Secretary 1 100,000 12 1,200,000
Trasurer 1 100,000 12 1,200,000
Balls 2 50,000 12 1,200,000
Jerseys 1 100,000 6 600,000
Travel Allowance(Internal Games) 4 30,000 12 1,440,000
Office 1 50,000 12 600,000
Photos 4 10,000 12 480,000
Travel Allowance(Outside Moshi) 2 3,000,000 1 6,000,000
Sub Total 34,920,000
Others 3,492,000
Total 38,412,000