Vijana

Kilimanjaro Rangers FC inaamini katika soka la vijana. Hivyo kwa kuzingatia hayo imeanza kuanzisha programu maalum kwa kuunda timu za chini ya umri wa miaka 17, 20 na 23.