Miradi

Kilimanjaro Rangers FC inataka kujiweka katika mazingira ya kutafuta fedha kwa kuwekeza katika miradi mbalimbali. Hivyo inaandaa programu maalumu ya kuandaa bidhaa zake ili kufanikisha hili. Kwa sasa bado timu hii haina mradi hata mmoja ila inalengo la kufanya hivyo katika siku za usoni.