Timu ya Man u imeifunga timu ya Chicago fire 3 - 1 katika ziara yake nchini Marekani. Magoli ya Man U yaliwekwa kimiani na Rooney (66), Rafael (76), Nani (82) huku lile la Chicago Fire likifungwa na GIBBS (13)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment