Thursday, July 21, 2011

TIMU YA NGASSA YAPOKEA KIPIGO KITAKATIFU 7 - 0

Timu aliyochezea Mrisho Ngasa wa Tanzania imemalizika  na kufungwa 7 - 0. Mabao hayo yamefungwa kuanzia dakika ya 15' kupitia kwa Owen, 49' Diof, 52' Rooney, 69' Rooney,71' Park, 72' Rooney na 89' Obertan
HAbari zaidi juu ya mtanange huo zitawajia

No comments:

Post a Comment