Monday, September 19, 2011
MACHAVA, COASTAL ZAAGA MASHINDANO
Timu za Machava FC na Coastal Union zimeaga mashindano ya vijana ya Kilimanjaro Rangers leo. Timu nne zimefuzu nusu fainali ambazo ni SIMBA, AFC, KRFC pamoja na AMANI(New Generation). Nusu fainali ya kwanza itaanza kesho kati ya AFC na AMANI na nusu fainali ya pili itakuwa kati ya SIMBA na KRFC itakayochezwa jumatano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment