Saturday, September 3, 2011

STARS 1, ALGERIA 1

Mchezaji wa kimataifa wa Taifa Stars anayechezaea nchini Vietnam Dany
Mrwanda akichuana na mchezaji Laifaoni Abderkadir wa Algeria katika mchezo
unaoendelea sasa hivi katika uwanja wa Taifa Dar es salaam Tanzania tayari
ni kipindi cha pili na Algeria wamefanikwa kurudisha goli hivyo Taifa
Stars 1- Algeria 1, na mpira umekwisha hivyo bado taifa stars itakuwa
nafasi ya tatu na Algeria
Timu hizo kabla ya mchezo wa leo zilikuwa na pointi sawa 4 kwa 4, ambapo
kwa Sasa zote zimefikisha pointi 5 kila moja huku zikiwa zimebakiza mchezo
mmoja kila moja, ambapo Taifa Stars itakipiga na Morocco Mjini Rabat huku
Algeria ikibakiza kipute chake na Afrika ya Kati, mechi zote zikitarajiwa
kuchezwa mwezi Oktoba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment