Sunday, October 2, 2011

JKT Oljoro yazidi Kutakata Ligi Kuu

Timu ya JKT Oljoro imeendelea kuonyesha uwezo wake katika ligi kuu ya Tanzania baada ya kushinda michezo mitatu mfululizo. Ilianza kushinda Kaitaba(Kagera 1- 2 JKT Oljoro), kisha Mwanza(Toto 0 – 2 JKTOljoro) na kumaliza na Coastal Union ya Tanga (JKT Oljoro 1 – 0 Coastal Union)

No comments:

Post a Comment