Monday, July 25, 2011

Balloteli Haeleweki

Mchezaji wa Manchester City, Mario Baloteli ametoa kituko cha mwaka baada ya kuupiga mpira kwa kisigino katika eneo la kufunga na kusababisha kocha kumtoa nje.

No comments:

Post a Comment