Monday, July 25, 2011

Blatter ni dictator' alonga bin Hammam

Mohammed Bin Hammam amesema kuwa raisi wa FIFA Sepp Blatter ni kama dicteta ambaye hujiamulia mabo yake.Bin Hammam, ambaye alilazimishwa kujitoa kwenye mbio za uraisi wa FIFA amefungiwa maisha katika kujihusisha na mpira wa miguu baada ya kupatikana na hatia ya kuhonga umoja wa maafisa wa mpira wa Caribbean.

No comments:

Post a Comment