Mshambualiaji mpya wa Arsenal ameanza vyema baada ya kuifungia timu yake magoli mawili walipocheza dhidi ya FC Cologne. Mchezaji huyo aliyekaa uwanjani kwa takribani dakika 29 tu za mchezo aliweza kutupia magoli hayo ndani ya dakika 15 akishirikiana vyema na Jack wilshare na Theo Walcot. Arsenal ilishinda 2 - 1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment