Sunday, July 10, 2011

KILIMANJARO RANGERS YATOLEWA MKOMBOZI CUP

Timu ys Soka ya KRFC leo imeyaaga mashindano ya MKOMBOZI cup baada ya
kutolewa kwa penati 4 kwa 3 dhidi ya timu ngumu ya TPC.

No comments:

Post a Comment