Timu ya soka ya wana wa Jangwani YANGA leo imenyakua ubingwa wa KAGAME
CASTLE CUP baada ya kumchinja mnyama SIMBA ndani ya dimba la uwanja wa
Taifa kwa bao moja kwa bila lililofungwa na Keneth Asamoah dakika ya 108
ya mchezo baada ya kumaliza dakika 90 za mtanange suluhu bin suluhu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment