Katika hali ya kushangaza TANESCO imekubwa na kwikwi na kusababisha mabingwa wa KAGAME kumulikiwa na tochi za AMBULANCE baada ya uwanja wa TAIFA kuwa giza totoro. Halihiyo imetokea wakati wachezaji wa SIMBA wakivishwa medali za mshindi wa pili.
Sunday, July 10, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment