Monday, July 11, 2011

Gervinho atua Arsenal

Timu ya Soka ya  Arsenal imefanikiwa kumsajili mshambuliaji kijana mwenye umri wa miaka 24 Gervinho kutoka timu ya Lille ya Ufaransa. Gervinho ameisaidia timu yake kwa kufunga magoli 15 na kusaidia 10. Wenger amesema kuwa Gervinho ameungana nasi na amechukua vipimo Alhamisi ya wiki iliyopita. Tumemrudisha nyumbani siku chache kwa sababu ana familia na watoto ndi sababu yakutokuwa kwenye safari yetu hii na mazoezi. Gervinho amabye aliiongoza Ivory Coastkwenye mashingano ya olimpic 2008  Beijing ameliambia gazeti la France Football magazine kuwa “Nimeichagua Asernal kwa sababu ni timu yenye vijana nan i rahisi kwangu kuzoeana nao mapema.”

No comments:

Post a Comment