Serikali imeunda tume ya watu 4 kuchunguza kukatika umeme uwanja wa taifa. Tume hiyo imepewa siku 7 kukamilisha uchunguzi wake. Hata hivyo serikali imewaomba radhi mashabiki wa kandanda nchini na Africa mashariki kwa tatizo hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment