Tuesday, July 12, 2011

WALIOSEPA RED SEA WAOMBA HIFADHI

Wale wachezaji 13 wa timu ya soka ya red sea ya eritrea walioripotiwa kutorokea nchini wamejisalimisha  wizara ya mambo ya ndani na kuomba hifadhi ya ukimbizi.

No comments:

Post a Comment