Wednesday, July 13, 2011

TWIGA STARS NA BANYANA BANYANA TENA

Timu ya Soka ya wanawake imepengwa kundi moja pamoja na Afrika ya Kusini(Banyana Banyana), Zimbabwe pamoja na Ghana katika mashindano ya All Afican game.  Wiki iliyopita Twiga Stars ilikuwa mjini Harare Zimbabwe kwenye mashindano ya Baraza la Vyama vya mpira wa Miguu kusini mwa Africa (COSAFA) ikishika nafasi ya tatu nyuma ya Zimbabwe na Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment