Friday, September 16, 2011

KILIMANJARO YOUTH TORNAMENT KUANZA LEO

Mashindani ya soka ya  vijana yaliyoandaliwa na timu ya KILIMANJARO RANGERS FC Mkoani Kilimanjaro yameanza kutimua vumbi katika uwanja wa Ushirika Moshi. Mashindano hayo yanashirikisha timu B za YANGA na SIMBA  za Dar es Salaam, COASTAL UNION ya Tanga, AFC ya Arusha, TPC na KILIMANJARO RANGERS za Moshi . Mchezo wa Kufungua Dimba utakuwa kati ya AFC na Kilimanjaro Rangers FC.

No comments:

Post a Comment