Thursday, September 15, 2011

YANGA YAONA MWEZI, YAICHAPA AFRICAN LYON

Timu ya YANGA imeshinda mchezo wake wa kwanza dhidi ya African Lyon leo kwa kuichapa 2 - 1 katika uwanja wa Azam. Kwa msimamo tembelea http://www.ligikuu.com

No comments:

Post a Comment