Sunday, September 4, 2011

MTIBWA YAITWANGA TOTO, WENGINE WATOA SARE LIGI KUU

Timu ya Mtibwa Suger leo imeibuka kidedea baada ya kuitwanga Toto African
2 - 1 katika uwanja wa Manungu Morogoro. Hata hivyo JKT Ruvu
wamelazimishwa sare ua 1 - 1 na JKT Oljoro. Pambano lingine lililochezwa
katika uwanja wa AZAM limeshuhudia Moro United wakitoa sare ya 2 - 2 na
Kagera Suger.
Kwa msimamo wa ligi kuu tembelea www.ligikuu.com
Moro United v Kagera Sugar 2-2
Mtibwa Sugar v Toto African 2-1
JKT Ruvu v JKT Oljoro 1-1

No comments:

Post a Comment