Friday, September 2, 2011

Wanajeshi nguvu sawa Chamanzi

Timu za JKT Ruvu na JKT Oljoro leo zimetoka suluhu katika mchezo wao wa
ligi kuu uliopigwa ndani ya uwanja mpya wa AZAM Chamanzi. Licha ya timu
hizo kupata penati kila moja ilishindwa kutumia nafasi hiyo. kwa msimamo
wa ligi kuu tembelea www.ligikuu.com

No comments:

Post a Comment