Friday, September 2, 2011

Bodi ya Kilimanjaro Rangers Kukutana leo Moshi.

Bodi ya Timu ya soka ya Kilimanjaro Rangers FC, leo inakutana mjini Moshi
katika kujadili mwelekeo wa timu hiyo. Akiongea na tovuti hii Mweneyekiti
wa Kilimanjaro Rangers amesema moja ya mambo watakayojadili ni maandalizi
ya timu hiyo katika ushiriki wake ligi ya wilaya itakayoanza katikati ya
mwezi huu.

No comments:

Post a Comment