Monday, April 9, 2012

KRFC yashinda mechi ya kirafiki siku ya Pasaka

Timu ya Kilimanjaro Rangers fc imeshinda mechi yake maalum siku ya Pasaka (tar 8 April 2012) kwa kuifunga timu ya Railway bao moja kwa bila. Mechi hiyo maalum iliyoandaliwa mahsusi kwa kuenzi misaada ya wafadhili wake Bwana Mussa Ally na Rafiki yake Roch Tchuinkam ilikuwa kivutio kikubwa kwa wakazi wa Njoro, Mjimpya  na Railway waliojitokeza kwa wingi kushangilia timu zao.

Railway 0 - 1 KRFC

No comments:

Post a Comment