Monday, November 14, 2011

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI STARS

Kesho macho na masikio yatakuwa uwanja wa Taifa wakati timu ya taifa Taifa Stars itakapomenyana vikali dhidi ya timu ya taifa ya Chad katika mchezo wa marudiano baadaya ya Taifa Stars kushinda 2 – 1 ugenini ijumaa iliyopita. Akizungumza na waandishi wa habari kocha wa Taifa Stars (Jan Paulsen) amekiri kuwa utakuwa mchezo mgumu hivyo anataka Watanzania wote wawe nyuma ya Taifa Stars ilituweze kufuzu hatua ya makundi kwenye mbio za kuelekea Brazili 2014.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Stars

No comments:

Post a Comment