Monday, July 11, 2011

Essien nje miezi sita.

Chelsea imetangaza kuwa mchezaji kutoka Ghana Michael Essien atakaa nje kwa miezi sita akiuguza majeruha baada ya kuumia goti katika mazoezi. Hii ni mara ya tatu kwa mchezaji huyu kuumia na imepeleke kufanyiwa upasuaji. Kocha mpya wa Chelsea Villas-Boas ampa pole na kuomba apone haraka.

 

1 comment:

Anonymous said...

ugua pole mjomba

Post a Comment