Inasemekana kuwa mchezaji Sergio Aguero mwenye umri wa miaka 23 amekubali makataba wa miaka mitano, kwa kiasi cha pauni za Uingereza milioni £38m.Katika mtandao wa Tweeter Aguero alisema: " Mimi tayari ni mchezaji wa Man City. Nimefurahi kuwa na timu kuwa mji huu."
Thursday, July 28, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment