Mshambuliaji wa timu ya Chelsea leo ameona mwezi baada ya kuifungia timu yake GOLI thidi ya timu ya Aston Villa. Torres toka ajiunge na Chelsea hili ni goli lake la pili katika mechi zote alizocheza. Chelsea imeshinda 2-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment