Wednesday, July 20, 2011

SIMBA B YATUA MOSHI

Timu ya SIMBA B leo imetua moshi kwa ajili ya mtanange wake utakaopigwa muda mchache kutoka sasa ifikapo saa 10 kamili za jioni katika uwanja wa Ushirika Moshi. Timu hiyo iliyoshika nafasi ya 3 katika mashindano yaliyomalizika jana kwa ushindi wa goli 2 kwa nunge imetua leo kuumana na vijana wa Kilimanjaro Rangers ya mjini Moshi katika safari yao kurejea jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment