Timu ya AFRICAN LYON imeiduwaza timu ya AZAM FC baada ya kuwafunga goli
moja kwa nunge. AZAM inayopewa nafasi kubwa kuleta ushindani ligi kuu ya
VODACOM imecheza katika kiwango cha kawaida sana licha ya kuwa na
wachezaji mahiri kama Mrisho Ngasa, na Kipre Tcheche.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment