Wednesday, August 24, 2011

SIMBA YAPAA , YANGA YASUASUA

Timu ya SIMBA imepaa baada ya kupata ushindi mwembamba wa 1 – 0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga na kufikisha point 6 wakati YANGA wamelazimishwa sare ya 1 – 1 dhidi ya Moro United. Matokeo mengine ni kama ifuatavyo.

 

COASTAL UNION 0:1 SIMBA

KAGERA SUGAR 1:1 VILLA SQUARD

POLISI 2:2 JKT RUVU

YANGA 1:1 MORO UTD

TOTO AFRICANS 1:0 RUVU SHOOTING

JKT Oljoro 1:0 MTIBWA SUGAR

 

Kwa habari na msimamo wa ligi kuu temebelea www.ligikuu.com

No comments:

Post a Comment