Monday, August 29, 2011

Kim Poulsen aita 30 vijana Taifa

Kocha wa timu za vijana Kim Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 30 wa
timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes)
kwa ajili ya mazoezi mwezi ujao.
Wachezaji walioitwa ni Saleh Ally (TSA), Jackson Wandwi (Azam), Hassan
Kessy (Mtibwa Sugar), Khamis Mroki (Mtibwa Sugar), Yassin Mustapha (Polisi
Dodoma), Andrew Kasembe (Moro United), Issa Rashid (Mtibwa Sugar), Ally
Teru (Simba), Said Ruhava (Kagera Sugar), Samuel Mkomola (Azam), Frank
Damayo (JKT Ruvu), Omega Seme (Yanga), Atupele Green (Yanga), Thomas
Ulimwengu (ABC Sweden) na Jerome Lambele (Moro United).
Wengine ni Simon Msuvan (Azam), Ramadhan Singano (Simba), Alex Joseph
(Majimaji), Ibrahim Rajab (Azam), Renatus Patrick (Polisi Dodoma),
Abdallah Kilala (AFC), Rajab Zahir (Moro United), Amani Kyata (TSA),
Edward Shija (Simba), Alfred Amede (Russia), Khelf Hassan (Kenya), Emily
Mgeta (TSC Mwanza), Ramadhan Salum (Simba), Frank Sekule (Simba) na Hassan
Dilunga (Ruvu Shooting).

No comments:

Post a Comment