Sunday, August 21, 2011

SIMBA YAPETA, YANGA YACHAPWA

Timu ya SIMBA leo imeanza vyema mchezo wake wa kwanza baada ya kushinda 2 - 0 dhidi ya timu ngeni ligi kuu ya JKT Oljoro. SIMBA ilitumia ozeofu wa kuwepo ligi kuu baada ya kukwamisha magoli hayo ya mapema dakika ya 3 kupitia kwa OKwi na dakika ya 13.
Mjini Morogoro mashabiki wa YANGA wametoka kichwa chini baada ya kufungwa 1 - 0 na wapiga kwata wa JKT Ruvu.

Kwa msimamo wa ligi temebela http://www.ligikuu.com

 

No comments:

Post a Comment