Saturday, August 20, 2011

AZAM, TOTO ZAANZA VYEMA LIGI KUU

Pazia la ligi kuu Tanzania limefunguliwa rasmi kwa michezo motano iliyofanyika leo. Michezo iliyofanyika leo imeshuhudia timu ya Toto ya mwanza na Azam FC zikianza vyema huku michezo mingine ikitoka sare.Matokeo ni kama ifuatavyo.

Coast Union 1 - 1 Mtibwa
Toto African 3 - 0 Villa Squad
Polisi Dom 0 - 0 African Lyon
Kagera Sugar 1 - 1 Ruvu Shooting
Azam FC 1 - 0 Moro United

 

No comments:

Post a Comment