Jana matajiri wa jiji la Manchester, Manchester City walivuna ushindi wa goli 4 – 0 na kukamata nafasi ya pili ya ligikuu ya nchini Uingereza. Timu hiyo iliyokuwa ikicheza na timu iliyopanda ligi kuu msimu huu Swansea City ilibidi kusubiri hadi kipindi cha pili ili kupata ushindi huo kutoka kwa Edin Dzeko 57, Sergio Aguero 68, David Silva 71, Aguero tena 90. Aguero ameanza vizuri kwa ,mechi yake ya kwanza ya ligi kuu.
Tuesday, August 16, 2011
Aguero aanza vizuri, aifungia Man-City 2 katika ushindi wa 4 - 0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment